Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, July 31, 2009

Mambo ya Zenji hayo.


MSTAHIKI AGA KHAN AKIBADILISHANA MAWAZO NA WENYEJI WAKE RAIS WA ZANZIBAR DK. AMANI KARUMME NA MKE WA RAIS MAMA KARUME NA WA MWISHO MR. BALOO WAKIWA KATIKA VIWANJA FORO BAADA YA KUIFUNGUWA BUSTANI HIYO JUZI




RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK. AMANI KARUME AKIPATA MAELEZO YA RAMANI YA BUSTANI YA FORODHANI KUTOKA KWA MSIMAMIZI WA UJENZI HUO KULIA NI MSTAHIKI AGA KHAN IKIWA WAKATI WA UFUNGUZI HUO JUZI.









RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK. AMANI KARUME AKIZINDUWA BUSTANI MPYA YA FORODHANI JUZI.



MSTAHIKI AGA KHAN AKISALIMIANA NA MSTAHIKI MEYA WA MJI WA ZANZIBAR MAHBUOB AKIWASILI KATIKA VIWANJA VYA BUSTANI YA FORODHANI

Picha zote na Othman Maulid Othman


Read more...

Tahadhari kutoka kwa afande KOVA yatoa matunda, hebu isome!!


Tafadhali wajulishe wote wanaohusika kwamba kuna kundi kubwa la majambazi wenye silaha kali, ambao wameingia Jijini Dar es salaam hivi karibuni. Wahalifu hao ni pamoja na Wakenya ambao wana tabia ya kupora fedha katika taasisi kubwa kama,mabenk,kampuni za mafuta na sehemu zenye biashara kubwa n.k .
Aidha watu hawa wana mbinu ya kula njama na watumishi wasiokuwa waaminifu.Ni muhimu mkafuatilia mienendo mbalimbali katika benk zenu na sehemu zilizotajwa hapo juu pamoja na kuimarisha usalama julisheni kwa message kupitia namba hii
0783034224 .au kwa simu ya mdomo
0754-034224 .0787034224 .
zote ni namba za Kamanda wa Polisi Kanda
Maalum ya
Polisi Dar es salaam.Namba zingine za simu ni
0754- 2762170776880000
namba hizi ni za mkuu wa Upelelezi Kanda maalum.Lengo la maelezo si vitisho kwenu bali ni tahadhari muhimu ,
inayofaa kuzingatiwa,
S. H. Kova - SACP
KAMANDA WA KANDA MAALUMDAR ES SALAAM

Read more...

MCHAKATO WA KUMPATA KISURA WA TANZANIA KUANZA AGOSTI 16

Meneja Mradi wa shindano la Kisura wa Tanzania Nicole Kapesi akizungumza na wanahabari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo leo kuelezea kuanza kwa mchakato wa kutafuta kisura huyo utakaoanzia Arusha Moshi, Karatu, Tanga na Dar es alaam kuanzia tarehe 16 mpaka 21Agosti na kufuatiwa na miji ya Musoma, Mwanza na Ngara tarehe 27 Agosti mpaka tarehe 2 Septemba kabla ya kupisha mfungo wa Ramadhan kushoto ni Emmy Melau Kisura wa Tanzania mwaka jana 2008.

Read more...

DVD YA FM ACADEMIA

Mwanamuziki na kiongozi wa bendi ya FM Academi Nyoshi El Sadaat akiongea na wanahabari kwenye Mgahawa wa Hadee juu ya kukamilika kwa DVD yao ya Live yenye nyimbo mchanganyiko 5 inayoitwa (World Number 0 utamu wa Vanilla) Nyoshi amesema DVD hiyo ina viwango vya hali ya juu na itaanza kuuzwa madukani kuanzia sasa, ametoa mwito kwa mashabiki mbalimbali kuinunua DVD hiyo kwani hawatajutia kuinunua bali watasuuzika na roho zao kwa Zombo na Matembele iliyomo humo kushoto ni afisa uhusiano wa kampuni ya Zain Celina Njuju.

Read more...

illuminata aondoka kwenda bahamas kwenye miss universe

Miss Universe TZ 2009 Illuminata James akipokea bendera ya Taifa kutoka kwa meneja wa huduma za utalii Mama Serena Shao huku mwandaaji wa Miss Universe TZ Maria Sarungi-Tsehai akishuhudia. Illuminata anapaa leo kwenda Bahamas yatakofanyika mashindano ya dunia ya Miss universe mwaka huu

Read more...

JK meets H.H. The Aga Khan in Dar

President Jakaya Mrisho Kikwete in conversation with the Spiritual Leader of the Shia Ismaili Muslims His Highness The Aga Khan at Dar es Salaam State House in Dar this morning.

Read more...

mmoja afa, 13 majeruhi na milioni 150 zaporwa katika ujambazi wa mabomu NMB temeke


afande wa FFU akiwa kashikilia bomu la kurusha kwa mkono ambalo halikuwahi kulipuka na kukutwa ndani ya kibegi nje ya jengo la benki ya NMB tawi la Temeke


damu ya wafanyakazi wa katika kaunta ya benki ya NMB tawi la Temeke ambapo majambazi yapatayo saba hivi yalivamia kwa mabomu ya mkono ambapo baada ya kurusha moja nje na kuua mlinzi wa kampuni binafsi aliyekuwa getini, yakarusha mabomu mawili ndani yaliyojeruhi watu 13, ikiwa ni pamoja na askari polisi wawili na kukomba takriban shilingi milioni 150 kabla ya kutoroka. Hii ni mara ya kwanza kutokea uporaji wa aina hii na umekuja siku moja tu baada ya Kamanda wa kanda maalumu ya Dar Afande Selemani Kova kutoa tahadhari kwamba taarifa za kiintelegensia zao zinaonesha kuna kundi la majambazi yenye silaha kali linataka kufanya uhalifu jijini












Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Afande Manumba akionge na wanahabari sehemu ya tukio. Waziri wa Mambo ya Ndani, Mh. Lawrence Masha, Mkuu wa Polisi IGP Saidi Mwema na Mkuu wa mkoa wa Dar Mh. William Lukuvi pia walikuja eneo la tukio baadaye na kutembelea majeruhi waliolazwa hospitali ya Temeke iliyo jirani na Benki hiyo.

Read more...

Kweli pombe sio maji











Kuna picha hizi za kuvunja mbavu za walevi tungependa tushee na wadau waburudikePicha zaidi unaweza ukawapa wadau link hiihttp://www.nifahamishe.com/album_preview.aspx?AlbumId=129431
NIFAHAMISHE.COM TEAM

Read more...

Maonesho ya nane nane Dodoma yapata mdhamini wa mawasiliano

Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Dkt. James Msekela (kushoto) akikabidhiwa fulana zilizotolewa na Kampuni ya Simu ya Tigo ikiwa ni sehemu ya mchango wao wa sh. milioni 50 kwa Chama cha Wakulima Tanzania (TASO) kwa ajili ya maonesho ya Nanenane yanayotarajiwa kuanza Agosti Mosi mjini Dodoma. Anayekabidhi mchango huo ni Meneja Uhusiano wa Tigo, Bw. Jackson Mmbando



Mkuuwa mkoa wa Dodoma, Dkt. James Msekela (kati) akifurahia baada ya kukabidhiwa simu za mkononi pamoja na fulana zilizotolewa na Kampuni ya Simu ya Tigo ikiwa ni sehemu ya mchango wao wa sh. milioni 50 kwa Chama cha Wakulima Tanzania (TASO) kwa ajili ya maonesho ya Nanenane yanayotarajiwa kuanza Agosti Mosi mjini Dodoma. Kulia meneja husiano wa Tigo, Bw. Jackson Mmbando anayekabidhi mzigo huo

Read more...

Gazeti la Kulikoni



Read more...

Gazeti la AN-NUUR

Read more...

Gazeti la Taifa



Read more...

Gazeti la Majira

Read more...

Pinda na Tarimba Bungeni Dodoma

Waziri Mku Mh. Mizengo Pinda akiwa na Mkurugenzi wa Shirika la Bahati Nasibu ya Taifa Bw. Abbas Tarimba kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma

Read more...

Wednesday, July 29, 2009

Ni kweli Ally Karume anataka Urais wa zanzibar?

.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiteta na Balozi wa Tanzania nchini Italia Ali Karume ambaye ameonyesha nia ya kutaka kugombea urais wa Zanzibar mwaka 2010 kwenye viwanja vya bunge mjini dodoma.

Read more...

Early morning inferno guts TBL's storage area for empties







On the 29th July 2009 at around 1 am a fire was detected in the Empties Storage Yard by G4S Security personnel on duty.
They attempted to extinguish the fire which was burning on top of a pile of empty beer plastic crates. When it became apparent that they would not be able to successfully extinguish the rapidly spreading fire, they immediately called in the Dar es Salaam City Fire Services, Ultimate Security Fire Services, Knight Support and Tanzania Ports Authority Fire Tender, as well as TANESCO to switch off the power network in the area.
With lots of courage from the fire service departments and many TBL employees, the fire was contained at around 3 am to the extensive destruction of the crates and bottles and some damaged to the new Line Five equipment currently being installed. It is with luck that no serious injury to both the fire tenders and TBL employees was recorded.
The cause of this damaging fire is still unknown, and at current TBL Management is establishing the extent of damage to property and stock, and as soon as clearing of the site is completed production of beer products will be brought back to normal TBL would like to assure all of its customers that it has sufficient stocks of finished products at hand, deliveries and orders will continue to be honoured as normal.
On behalf of TBL Board and Management, we would like to thank all individuals who have gone beyond the call of duty in helping us save what could have turned out to be a much bigger disaster, in particular Dar es Salaam City Fire Services, Ultimate Security Fire Services, Knight Support, Tanzania Ports Authority, TANESCO, Police Force, G4S Security Services, our Mchikichini neighbours and the Press and not to forget all best wishers who sent us messages of encouragement and sympathy.
We shall continue to give you an update of developments as more findings unfold.R.M. GoetzscheManaging Director;Tanzania Breweries Ltd.Operations Director, SABMiller East AfricaFor further Information:Corporate Affairs & Communications Office,+255767266049,
doris.malulu@tz.sabmiller.com
About TBLTanzania Breweries Limited (TBL) manufactures sells and distributes clear beer, alcoholic fruit beverages (AFB’s) and non-alcoholic beverages within Tanzania. TBL has controlling interests in Tanzania Distilleries Limited, and associated company, Mountainside Farms Limited.
TBL’s most popular clear beer brands include Safari Lager, Kilimanjaro Premium Lager, Ndovu Special Malt, Castle Lager, Pilsner Lager and Tusker Lager. Other prominent brands associated with the TBL group are Konyagi Gin, Amarula Cream, Redds Premium Cold, Valuer Brandy and Overmeer range of wines.
The TBL group is listed on the Dar es Salaam Stock Exchange, employs about 1,300 people and is represented throughout the country with 3 clear beer breweries, a distillery, a maltings facility and 8 distribution depots.
About SABMillerSABMiller plc is one of the world’s largest brewers with brewing interests or distribution agreements in over 60 countries across five continents. The group’s brands include premium international beers such as Miller Genuine Draft, Peroni Nastro Azzurro and Pilsner Urquell, as well as an exceptional range of market leading local brands.
Outside the USA, SABMiller plc is also one of the largest bottlers of Coca-Cola products in the world. Recently SABMiller Plc acquired Foster’s brand in India and its operations.
SABMiller plc is listed on the London and Johannesburg stock exchanges.

Read more...

UVCCM wanapokuwa katika shughuli zao za chama.

Katibu mkuu wa umoja wa vijana wa CCM Taifa Bw Martine Shigela (katika) akiwa ameongozana na mwenyekiti wa UV CCM mkoa wa Iringa Bw Fadhil Ngajilo kulia na katibu wake Mkoa Bw Josephat Ndulango kushoto kukagua gwalide la chipukiza wa CCM leo kabla ya kuanza kikao cha baraza kuu la UVCCM mkoa wa Iringa mjini Njombe



Mjumbe wa baraza kuu la vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) Taifa Bi Amina Kingazi ambaye ni mwandishi wa habari wa gazeti la uhuru na mzalendo pamoja na radio Uhuru akitoa somo kwa vijana wa CCM nchini kuachama na tabia ya kuwa omba omba awataka wafanye kazi halali

Read more...

Pinda uso kwa uso na Pascal Mayalla!!

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kushoto) akizugumza na Mtayarishaji Maarufu wa vipindi vya Televisheni na Mshauri wa Masuala ya Siasa katika Ubalozi wa Uingereza Nchini, Pascal Mayalla kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 28, 2009.

Read more...

Ni kweli unapolala katika kazi au biashara unakuwa unalaza biashara au kazi yako?

KinyozI mmoja katika saluni ya Milardo, Mtaa wa Aggrey, Kariakoo, jijini Dar es Salaam, akiwa “ameutwanga” usingizi majira ya saa tatu asubuhi na kuonekana kusahau wajibu wa ajira yake.

Haya sasa huyu ni Mlinzi au tumpatie jina gani? Kwa mtaji huu ulinzi wa mali ya mtu utatimilika kweli? Huyu ni mlinzi wa kampuni ya fulani akiwa kauchapa usingizi katika majira ya mchana, kama alivyokutwa katika eneo la Mabibo Hostel. Picha na MichuziJR



Read more...

Uvutaji wa Sigara

Je huu ni ujanja au ni nini? Hebu wenye mawazo tofauti na anaeweza kusaidia mawazo kwa dada hawa.

Read more...

ALBUM YA MWANAMUZIKI GALINOMA iko sokoni sasa

SAMAHANI" NDIO ALBUM MPYA YA MWANAMUZIKI WA KITANZANIA ANAEISHI UGHAIBUNI. GALINOMA aka BUTI JIWE ANAISHI NA KUFANYA SHUGHULI ZAKE NCHINI UHOLANZI, AMETOA ALBUM YENYE NYIMBO KUMI NA TAYARI VIONJO VYAKE VINASIKIKA KATIKA REDIO ZA BONGO (TANZANIA). PATA NAKALA YAKO YA ALBUM "SAMAHANI" KWA KUWASILIANA NA:
TEL: +31 0641 915522 :
GALINOMA***(HOLAND-ND)
TEL: +39 081 3340648:
SEEWEAR& GFAMILY PRODUCTION***
(ITALY) TEL: +255 713 452575 :
MR. A.NYONI (TANZANIA)

Read more...

mkutano mkuu wa CCM Reading UK

Takribani wanachama 500 wa CCM Nchini Uingereza wahudhuria Mkutano Mkuu wa Tawi jijini Reading UK uliofunguliwa na mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Mhazini Mkuu wa CCM Taifa Mhe.Amos G. Makalla.
Pamoja naye toka Tanzania ni Mshauri Mkuu wa Siasa wa Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe.Rajabu Luhwavi. Katibu wa Tawi Bi Susan Mzee aliwakilisha Taarifa ya maendeleo ya CCM UK na Mwenyekiti wa CCM UK Nd. Maina Owino alimkaribisha Mhe. Amos Makalla kufungua rasmi Mkutano huo Mkuu.
Mhe. Makalla alisema kazi ya ujenzi wa Chama na Taifa la Tanzania ni letu wote na lazima wote kwa usawa bila ubaguzi tuvune matunda ya Uhuru wetu Viongozi hao wa kitaifa waliwataka Watanzania kuongeza juhudi za makusudi kuitangaza Tanzania kwa mema na pia Kutosita kutoa ushauri juu ya mambo mbalimbali ili kuboresha utawala bora na maadili mema ya uwajibikaji.
Aidha wote wamewataka Watanzania wanaoishi Ughaibuni wasikae kimya na watoe taarifa katika vyombo husika pale wanapo ona hawajatendewa haki kwa mujibu wa sheria za Tanzania mara warudipo nyumbani. Watanzania wengi walihamasika na kuendelea kujiunga na CCM siku hiyo ya Jumapili 26/07/2009.

Read more...

Tuesday, July 28, 2009

JK katika mkutano Uganda

JK akiongozana na Mfalma Mswati III wakiingia katika ukumbi wa Speke's Bay Resort huko Muyoyo, Kampala kwenye mkutano wa Global 2009 smart Partnership Think Tank Dialogue leo asubuhi ambako viongozi wa kadhaa wa SADC wamekutanika toka juzi

Mama Salma kikwete akipokewa na Mama wa kwanza wa Uganda Janeth Museveni kwenye mkutano huo katika ukumbi wa Speke's Bay Resort, Kampala leo

Read more...

Vijana wa Kitanzania waendelea kutesa katika ziara yao China.

Raia wa China wakiwa na vijana kutoka Tanzania (hawapo pichani) wakimuangalia mnyama maarufu nchini China anayejulikana kama tembo wa baharini (sea elephant) wakati akitoa burudani huku akipuliza zumari yenye milio tofauti na kushangiliwa na umati wa watu katika hifadhi ya Polar sea mjini Qingdao.


Vijana kutoka Tanzania walio ziarani China wakiwaangalia wazee wakicheza karata katika kituo cha huduma za jamii cha Zhanshan mjini Qingdao , China . Kituo hicho hutoa huduma mbalmbali kwa wazee wastaafu na wale wasiojiweza zikiwemo huduma nyingine za jamii .



Mkuu wa msafara wa ujumbe wa vijana ulioko mjini Qingdao,China ambaye pia ni Mkurugenzi wa Shule za Sekondari kutoka Wizara ya Elimu ya Mfunzo na Ufundi,Leornard Musaroche akizungumza na Bi. Li Aiguo Mkurugenzi mkuu wa kituo cha huduma za jamii cha Zhanshan.

Read more...

Usiombe gari yako ikabuma!!!

Hapa ndipo kondakta huishiwa kiswahili na maneno yake ya kejeli kwa abiria, jamaa wanachokitaka ni chao tu baada ya daladala kubuma(kuharibika)

Read more...

Mnaotaka kuwa na matiti makubwa mpooo????


Hivi nini raha ya matiti makubwa na nini karaha ya matiti makubwa, mnaotaka kuwa nayo hebu tusaidieni mchango wa mawazo, na madhara ya madawa hayo mmeyaona?




Read more...

Hawa ni watu wenye akili zao timamu kabisaaa!!! Sijui nini kimewapata!

Haya sijui ni mazoezi? Sijui ni moja ya yale masharti magumu yatolewayo na sangoma? Je wewe una maoni gani au wameambiwa kule kuna pesa na masharti ya kuziona hizo pesa lazima uende ukiwa mtupu, jamani kweli haya ni malimwengu!!

Read more...

Hapa usingizi safi sana!!

Mambo ya kienyeji ni bomba sana, cheki jamaa anaweka mambo sawa kabla hajanyoosha mgongo wake katika kitanda hiki safi kabisa anachikitengeneza kwa kamba asilia, mnakumbuka nini?

Read more...

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP