Friday, July 31, 2009

illuminata aondoka kwenda bahamas kwenye miss universe

Miss Universe TZ 2009 Illuminata James akipokea bendera ya Taifa kutoka kwa meneja wa huduma za utalii Mama Serena Shao huku mwandaaji wa Miss Universe TZ Maria Sarungi-Tsehai akishuhudia. Illuminata anapaa leo kwenda Bahamas yatakofanyika mashindano ya dunia ya Miss universe mwaka huu

No comments:

Post a Comment