Tuesday, July 28, 2009

JK katika mkutano Uganda

JK akiongozana na Mfalma Mswati III wakiingia katika ukumbi wa Speke's Bay Resort huko Muyoyo, Kampala kwenye mkutano wa Global 2009 smart Partnership Think Tank Dialogue leo asubuhi ambako viongozi wa kadhaa wa SADC wamekutanika toka juzi
Mama Salma kikwete akipokewa na Mama wa kwanza wa Uganda Janeth Museveni kwenye mkutano huo katika ukumbi wa Speke's Bay Resort, Kampala leo

No comments:

Post a Comment