Wednesday, August 5, 2009

Banda la Ofisi ya Makamu wa Rais kwenye nane nane Dodoma

Afisa katika Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Bi Lupi Mwaikambo akiwaonyesha Magazeti ya zanani wanafunzi wakati walipotembelea Banda la Ofisi ya Makamu wa Rais wakati wa Maonyesho ya Nane Nane yanayoendelea Mkowani Dodoma.Picha na mdau Ali Meja

No comments:

Post a Comment