Dullonetwork | Habari katika Picha na Matukio
Monday, August 24, 2009
Chakula cha Ng'ombe
Kijana anayefanya kazi ya kutunza mifugo eneo la Forest Hill Morogoro akipeleka nyasi nyumbani kwa ajili ya mifugo hiyo.Jamaa hawa hulipwa si zaidi ya shilingi 20,000 kwa mwezi (picha na Juma Mtanda)
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment