Saturday, August 22, 2009

Hasheem ndani ya Uhuru Wasichana


Mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya Memphis Grizzlies ya Marekani, Hasheem Thabeet, akicheza mchezo huo na wanafunzi wa shule ya Uhuru Wasichana, wakati alipofika shuleni hapo akiwa katika ziara yake kwa ajili ya kuhamasisha watoto kupenda michezo.

No comments:

Post a Comment