Thursday, August 20, 2009

Mama JK na mgeni wake

Mama Salma Kikwete akigonganisha glasi na mke wa Mfalme Mswati III wa Swaziland Malkia Nomsa Matsebula wakati wa chakula cha usiku ambacho mama kikwete alimwandalia malkia huyo,ikulu

No comments:

Post a Comment