Tuesday, August 25, 2009

Mgomo TAZARA


wafanyakazi wa TAZARA jana walikuwa katika mgomo baridi kwa kile walichodai ni kutafakari matokeo ya kikao cha baraza la wafanyakazi lililoshindwa kutekeleza maombi yao zaidi ya 5 ya maslahi kazini.

Wafanyakazi hao wakiimba wimbo wa mshikamano kwa wafanyakazi.

No comments:

Post a Comment