Tuesday, August 11, 2009

Mkutano wa mazingira Korea ya Kusini waanza

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais - Mazingira, Mh. Dkt Batilda Salha Burian, Akifuatilia Hotuba ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bwana Ban ki - Moon, katika ufunguzi wa Kongamano la ulimwengu la Mazingria linalofanyika katika ukumbi wa Convencia, jijini Incheon, Korea ya Kusini. Picha na Evelyn Mkokoi

No comments:

Post a Comment