
Naibu waziri wa habari na michezo mh. joel bendera (shoto) akikabidhi hundi kwa katibu mkuu wa tff frederick mwakalebela ambazo zitasaidia kuendesha ligi kuu ya vodacom inayoanza hivi karibuni kwenye sherehe za kukabidhi fedha na vifaa iliyofanyika hoteli ya giraffe motel jijini dar leo. wengine katika picha ni mama yasoda naibu mkurugenzi wa michezo, bosi wa mssoko wa vodacom ephraim mafuru, na meneja wa udhamini wa vodacom

mh. bendera akikabidhi kifaa cha kubadilishia wachezaji kwa makalebela

Uzi wa African Lyon

Uzi wa Kagera Sugar

Uzi wa MANYEMAFC

Uzi wa AZAMFC

Uzi wa JKT Ruvu

Uzi wa YANGA

Uzi wa Simba

Uzi wa TOTO AFRICAN
No comments:
Post a Comment