Mkuu wa kikosi cha JKT Burombola, Luteni Kanali Saimon Thomas akiwaongoza waombolezaji kuupakia mwili wa marehemu kwenye gari tayari kwa safari ya kuelekea kijijini Kwao Chereche wilaya ya Rolya mkoani Mara kwa maziko leo.
Mkuu wa Mkoa kigoma,Joseoh simbakalia akitoa heshima kwa mwili wa Mwandishi wa habari Peter Cassonga mjini Kigoma juzi
No comments:
Post a Comment