Thursday, September 17, 2009

Ziara ya Pinda New Delhi India


Mh. Engeneer Balozi wetu India John Kijazi akiwakaribisha Mheshimiwa Waziri Mkuu na Mkewe

Baadhi ya wanajumuiya waliojitokeza kuimlaki Mh. Pinda



Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda na Mkewe mama Tunu Pinda wakipozi na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi wa New Delhi, Bi Jennifer Sumi

No comments:

Post a Comment