Dullonetwork | Habari katika Picha na Matukio
Wednesday, October 21, 2009
Chikawe azindua cheti kipya cha kuzaliwa
Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe akikata utepe kuzindua cheti kipya cha kuzaliwa, jijini Dar leo. Anayeshuhudia ni Katibu Mkuu wa wa wizara hiyo, Oliver Mhaiki. Cheti hicho kimetengenezwa kwa utaalamu wa hali ya juu kudhibiti kanyaboya
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment