Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Mkurugezi wa Idara ya Maafa katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Meja Jenerali Bakari Shaaban ambaye amelazwa katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam, Oktoba 3, 2009. Kulia ni Mke wa Meja Jenerali Shaaban, Zaina Said.
Hodi hodi Dullo.
ReplyDeleteNafurahi kufika kibarazani kwenu wakuu.
Ni habari njema mtupazo na naamini niko nyumbani sasa. Na ntakuwa naingia kama kwetu. Lol
Karibuni CHANGAMOTONI
Wandugu, nimesaka email yenu kuwapa hizi habari lakini nimewakosa. Mwaweza kuwajulisha wanamichezo na hasa "walevi" wa masumbwi juu ya Mpambano wa Roger "The Tiger" Mtagwa vs Lopez jumamosi hii.
ReplyDeleteInfo zaidi mwaweza kuzipata hapa http://changamotoyetu.blogspot.com/2009/10/rogers-tiger-mtagwa-ndani-ya-pay-per.html
PamoJAH Daima