Saturday, October 17, 2009

Watu wachukua chao Kipawa

Mkazi wa Kipawa , jijini Dar es Salaam,Coustansia Kasale akipokea hundi ya malipo kwa ajili ya nyumba ambazo zitabomolewa kupisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam.(Picha na Yusuf Badi).

No comments:

Post a Comment