
Mkurugenzi Msaidizi na Msajili wa Magazeti wa Idara ya Habari (MAELEZO) Ndugu Raphael Hokororo wa pili (Kulia) akisisitiza jambo walipotembelea Gazeti la Daily News. Kulia ni Msaidizi wa Msajili wa Magazeti Bibi. Jovina Bujulu. Wa pili shoto ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Daily News ndugu Mkumbwa Ally na wa pili (kushoto) ni Mhariri wa Gazeti la Habari Leo ndugu Joseph Kulangwa.

Mkurugenzi Msaidizi na Msajili wa Magazeti wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Raphael Hokororo akisisitiza jambo katika kikao chake na Wahariri wa Magazeti ya Daily News na Habari Leo. Shoto ni Msaidizi wa Msajili wa Magazeti Bi. Jovina Bujulu. Picha na Anna Itenda wa MAELEZO
No comments:
Post a Comment