Wednesday, February 24, 2010

Semina ya ndoa na talaka yaanza Dar



Washiriki wa semina ya mafunzo ya siku mbili kwa Masheikh na Mapadri kuhusu Usajili wa Ndoa na Talaka ulioanza leo katika ukumbi wa Msimbazi Center jijini Dar leo chini ya Wakala wa Usajili,Ufilisi na Udhamini-RITA

No comments:

Post a Comment