Mkulima wa kijiji cha Chagu tarafa ya Nguruka wilaya Kigoma Aron Hagugu (aliyenyoosha mkono) akimuonyesha Mkuu wa Mkoa Kigoma Joseph simbakalia (mwenye kofia) ukubwa wa shamba lake na mazao yaliyopandwa wakati mkuu huyo wa mkoa alipofanya ziara ya kukagua shughuli za kilimo mkoani humo.SAWAA nimekubali mnatisha nilidhani kazi yenu kuuza samaki aina ya nguruka tu kumbe na kilimo mnajua mpo juu wananchi wangu!RC huyo!
Mkuu wa Mkoa Kigoma Joseph simbakalia (kulia mwenye kofia)akizungumza na wakulima wa kijiji cha Chagu tarafa ya Nguruka wilaya Kigoma alipofanya ziara ya kukagua shughuli za kilimo katika tarafa hiyo.
Picha zote na Fadhili Abdallah wa Kigoma
No comments:
Post a Comment