
wasaidizi pamoja na mfadhili JP Van Niekerk wakionesha fulana walizopewa msaada na kampuni ya Old Mutual ya Afrika kusini.
wapandisha watalii wa kampuni ya Keys katika picha ya pamoja na Bw JP van Niekerk wa kampuni ya Old Mutual ya Afrika kusini

wasaidizi pamoja na mfadhili JP Van Niekerk wakionesha mabuti waliyopewa msaada na kampuni ya Old Mutual ya Afrika kusini.

wasaidizi wa kupandisha watalii mlima Kilimanjaro,wa kampuni ya Key's wakifurahia msaada wa viatu na bosi wa Old Mutual

Bosi wa Old Mutual JP van Niekerk akiwa na mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya Keys Bi Triza Ndesamburo kabla ya kukabidhi msaada wa viatu na fulana. Picha zote na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii
No comments:
Post a Comment