
Mgeni rasmi, balozi mteule wa Tanzania nchini Afrika ya kusini Mheshimiwa Bi.Radhia Msuya akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Benki ya CRDB na UTT.Kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei na Kushoto ni Mkurugenzi wa mfuko wa UTT Dkt.Hamisi Kibola.Kulia kwa Dkt.Kimei ni Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa benki hiyo Bi.Nellie Ndosa na Katibu wa Benki hiyo Bw.John Rugambo.Kushoto kwa Dkt.Kibola ni Mkurugenzi wa fedha na utawala wa UTT Bw.Allan Mchaki

Mkurugenzi mtendaji wa benki ya CRDB Dkt.Charles Kimei na Mkurugenzi wa UTT Dkt.Hamis Kibola wakibadilishana mikataba hiyo huku wakishuhudiwa na Balozi mteule huko Afrika Kusini Mh.Bi.Radhia Msuya

Mkurugenzi mtendaji wa benki ya CRDB Dkt.Charles Kimei (shoto) na Mkurugenzi wa UNIT TRUST OF TANZANIA - UMOJA FUND (UTT) Dk. Hamis Kibola wakibadilishana mikataba hiyo huku wakishuhudiwa na Balozi mteule huko Afrika Kusini Mh. Radhia Msuya
No comments:
Post a Comment