Daniel Bundu ( anayebonyeza) ambaye ni mshindi wa promosheni ya tuma pesa kupitia NMB mobile kwa uwapendao na ushinde akianzisha droo ya mwisho ya promosheni hiyo. Kulia ni Chiku Salehe Mwakilishi toka bodi ya michezo ya kubahatisha, anayefuatia Julio Batalio Mwakilishi to kampuni ya na Julius Konyani ambaye ni Meneja Bidhaa wa NMB
No comments:
Post a Comment