Thursday, March 18, 2010

RC Morogoro na uhamasishaji Kilimo Kwanza


Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Issa Machibya (mwenye suti) akisaidia kung’olea majani kwenye shamba la Mpunga la familia ya George Kulengama lililopo kwenye Kijiji cha Lipangalala wilayani Kilombero Mkoani humo, pia amependekeza kilimo cha majaruba ili kuwa na uhakika wa mavuno.

No comments:

Post a Comment