Wanachama wapya wa CCJ wakipewa kadi leo katika
sherehe rasmi ya kuzindua chama hicho kipya katika makao makuu ya chama mwananyamala jijini Dar
Burudani nayo haikuwa nyuma wakati wa uzinduzi wa chama hicho cha CCJ, viuno kama kazi toka kwa vigogo hawa.
Vigogo wa Chama hicho wakicheza kwa furaha, Mwenyekiti alisema chama hicho kitawawezesha kila mwananchi kula nyama tofauti na sasa ambapo nyama huliwa na wachache na waliosalia kuliwa kwa kuvizia misiba au sherehe.
Mbali na uzinduzi huo pia kilitarajiwa kutangaza orodha ya vigogo waliojiunga na chama hicho na badala yake wamesema vigogo waliokuwa wakizungumzia ni wananchi au jamii kwa ujumla.
No comments:
Post a Comment