Thursday, August 20, 2009

Watoto nao husaidia katika kazi!

Watoto wa shule ya msingi Boma Dar es Salaam wakisaidia kusukuma mkokoteni wa taka jana. Wazazi na walezi wanapaswa kuwaonya watoto kushika vitu vya uchafu kama hivi kwani hatari kwa magonjwa yanayotokana na uchafu.

No comments:

Post a Comment