Dullonetwork | Habari katika Picha na Matukio
Thursday, October 8, 2009
JK akutana na wageni wake
JK akizingumza na aliyekuwa Rais wa Ireland Mhe.Mary Robinson ambaye sasa ni Rais wa Taasisi ya Realizing Rights,wakati Bi.Robinson alipomtembelea ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment