Semina ya ndoa na talaka yaanza Dar


SHEREHE ZA MAULID ZINAZOADHIMISHWA KUSHEREHEKEA KUZALIWA KWA MTUME MUHAMMAD S.A.W ZITAFANYIKA KITAIFA MKOANI MTWARA IJUMAA USIKU WA FEBRUARI 26, 2010 MKOANI MTWARA,
KWA MUJIBU WA TAARIFA KUTOKA MAKAO MAKUU YA BARAZA KUU LA WAISLAMU (BAKWATA).
KAMA ILIVYO ADA, JUMAMOSI FEBRUARI 27, 2010 SAWA NA MWEZI WA 12 MFUNGO 6, ITAKUWA NI SIKU YA MAPUMZIKO NCHI NZIMA.
KATIKA TAARIFA HIYO BAKWATA LIMEWATAKIA WANANCHI WOTE MAPUMZIKO MEMA.
Tunapenda kuwatangazia watanzania wanaoishi katika miji ya Johannesburg na Pretoria kuwa kutakuwa na mkutano mkuu wa jumuia ya watanzania wanaoishi jimbo la Gauteng siku ya Jumapili ya tarehe 14.03.2010.
Mkutano huu utafanyika Kempton Park Civic Centre, makutano ya barabara za CR Swart Ave na Pretoria Road, Kempton Park, Johannesburg kuanzia saa nane mchana.
Pamoja na kujadili mambo muhimu ya jumuia hii, tunatarajia kupitisha katiba na kuchagua viongozi wa jumuia.
Kuhudhuria kwako ni muhimu katika kufanikisha shughuli hii.
Ukipata ujumbe huu, tunaomba usambaze taarifa ya mkutano kwa watanzania wengine unaowafahamu.
Kwa taarifa zaidi wasiliana na kamati ya maandalizi kwa barua pepe (watanzaniagp@gmail.com) au kwa simu zifuatazo: +27799965120; +27835 566966; +27791035599
Mkurugenzi wa Executive Solutions, Aggreay Marealle akizungumza kwenye maombolezo ya msiba wa Alan Turner.






SHEREHE ZA MAULID ZINAZOADHIMISHWA KUSHEREHEKEA KUZALIWA KWA MTUME MUHAMMAD S.A.W ZITAFANYIKA KITAIFA MKOANI MTWARA IJUMAA USIKU WA FEBRUARI 26, 2010 MKOANI MTWARA, KWA MUJIBU WA TAARIFA KUTOKA MAKAO MAKUU YA BARAZA KUU LA WAISLAMU (BAKWATA).
KAMA ILIVYO ADA, JUMAMOSI FEBRUARI 27, 2010 SAWA NA MWEZI WA 12 MFUNGO 6, ITAKUWA NI SIKU YA MAPUMZIKO NCHI NZIMA. KATIKA TAARIFA HIYO BAKWATA LIMEWATAKIA WANANCHI WOTE MAPUMZIKO MEMA
sehemu ya wakati wa mazishi ya Marehemu Mama Salma Hilary Ajmi, mama mzazi wa Juhayna Ajmi, mke wa Mkurugenzi mkuu wa Clouds FM Joseph Kusaga, aliyefariki majuzi, yaliyofanyia jana jioni makaburi ya Ngazija Upanga jijini Dar. Mola aiweke Roho yake mahali pema peponi - Amin
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika mazungumzo ya faragha na mwenyeji wake Mfalme Abdullah II bin Al Hussein wa Jordan juzi.
wasaidizi pamoja na mfadhili JP Van Niekerk wakionesha fulana walizopewa msaada na kampuni ya Old Mutual ya Afrika kusini.

MICROSOFT LAUNCHES STUDENT TECHNOLOGY COMPETITION LEVERAGING KISWAHILI TO HELP ERADICATE SOCIAL PROBLEMS IN TANZANIA. IN PICTURE ABOVE IS MICROSOFT SOFTWARE DEVELOPER MANAGER FOR EAST AFRICA EMMANUEL BIRECH LAUNCH THE COMPETITION IN DAR ES SALAAM TODAY.
GLOBAL COMPETITIONS INVITES TUDENTS TO APPLY TECHNOLOGY AND ARTISTIC TALENTS TO TACKLE THE WORLD'S TOUGHEST PROBLEMS. FOR THOSE WHO ARE INTERESTED IN PARTICIPATING IN IMAGINE CUP 201O CLIC HERE www.imaginecup.com TO REGISTER AND REVIEW FULL ENTRY REQUIREMENTS FOR EACH INVITATIONAL.
Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Uhuru Publications Ndugu Josiah Mufungo akiwa Ofisi kwake ( Kulia) wakati wa mazungumzo na Mkurugenzi msaidizi na Msajili wa Magazeti wa Idara ya Habari (Maelezo) wa (kwanza) jinsi Ofisi yake inavyofanya kazi ,Mkurugenzi huyo alienda kujifunza na kujua shughuli mbalimbali zinazofanywa na Gazeti la Uhuru .Na wa pili (kulia) ni Msajili Msaidizi wa Idara ya Habari Ndugu Ismail Ngayonga aliefuatana na Mkurugenzi huyo

Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Luteni Kanali (Mstaafu) Issa Machibya (kulia) akipeana mikono na Meneja wa Zain anayeshughulikia masuala ya Kijamii, Tunu Kavishe, wakati akipokea msaada wa, vyandarua magodoro na vifaa vingine vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni 20, kwa ajili ya waathirika wa mafuriko wilayani Killosa. Makabidhiano hayo yaliyoshuhudiwa na mkuu wa wilaya ya Kilosa, Halima Dendegu (Kulia) na wafanyakazi wa Zain kutoka kanda zote nchini, yalifanyika wilayani humo mwishoni mwa wiki.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein katikati akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM, wakati alipotembelea Chuo hapo leo
Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei akimpa zawadi ya kifurushi chenye zawadi mbalimbali kutoka benki hiyo mshindi wa tano Bw. Richard Gunze.


Ally Rehmtullah and his team of Fashion for Education Benefit did a presentation at the Aga Khan Mzizima Secondary School at the Assembly to initiate the students to participate in the campaign for raising funds for the Kisarawe School District.
Baadhi ya waandishi wa habari Mkoani morogoro wakicheza muziki kumaanisha furaha yao ya kumaliza vema mwaka wa 2009 na kuufikia mwaka wa 2010
© Dullonet template by Dullonet.com 2009
Back to TOP