Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, March 26, 2010

Mama Salma Kikwete Babati

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimkabidhi vifaa vya hospitali Muuguzi Suzan John wa kituo cha afya cha Galapo huko Babati tarehe 25.3.2010.


Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimsalimia mtoto mmoja wakati alipotembelea kituo cha afya kilichopo katika kijiji cha Galapo,wilayani Babati tarehe 25.3.2010.


Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akiwakabidhi hundi ya shilingi milioni moja uongozi wa kikundi cha wajasiriamali cha Mshikamano kilichoko mjini Babati tarehe 25.3.2010.

Read more...

Mwendelezo wa HABARI NDIYO HIYO

Mkurugenzi wa maswala ya uhusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba,Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Erick Shigongo na Mkurugenzi wa masoko Ephraim Mafuru wakiwa wameshikilia bango lenye ujumbe wa “HABARI NDIYO HII” katika ofisi za ghazeti hilo ambapo wafanyakazi wa mtandao huo wanaendelea kutembelea vyombo vya habari na kufikisha ujumbe wao wa kushusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom.kulia ni Meneja Mkuu wa Global Publishers.


Mkurugenzi wa Mtendaji wa Global Publishers Erick Shigongo(kushoto) akiwa ameshikilia moja ya zawadi aliyompatia Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru mara baada ya kutembelea ofisi zao na kuwahabarisha kuhusu “habari ndiyo hii”ambapo mtandao wao ulivyoshusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom.

Mkurugenzi wa Maswala ya uhusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akishuka kwenye ngazi kutembelea ofisi za Global Publishers akiwa ameambatana na Mkurugenzi wa Masoko Ephraim Mafuru wapili na Meneja wa Mawasiliano Nector P.Foya ambapo wafanyakazi wa mtandao huo wanaendelea kutembelea vyombo vya habari na kufikisha ujumbe wake wa kushusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom.


Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru(kushoto)Mkurugenzi wa maswala ya uhusiano Mwamvita Makamba na Meneja masoko wa Uhuru Publication Beatus Ismael wakiwa wameshikilia bango lenye ujumbe wa “HABARI NDIYO HII” katika ofisi za ghazeti hilo ambapo wafanyakazi wa mtandao huo wanaendelea kutembelea vyombo vya habari na kufikisha ujumbe wake wa kushusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom




Mkurugenzi Mwandamizi wa ghazeti la Jamboleo Ben Kisaka (katikati)akiongea na Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru(kushoto) na Mkurugenzi wa maswala ya uhusiano Mwamvita Makamba(kulia) katika ofisi za ghazeti hilo ambapo mtandao huo unaendelea kutembelea vyombo vya habari na kufikisha ujumbe wake wa kushusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom.



Mkurugenzi mtendaji wa ghazeti la Jamboleo Juma Pindo akiwaonyesha wakurugenzi wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru,Mwamvita Makamba namna wanavyofanya kazi zao kwa kutumia kompyuta wakurugenzi hao walifika katika ofisi za ghazeti hilo kwa lengo la kutembelea vyombo vya habari na kufikisha ujumbe wao wa kushusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom.waliosimama kushoto ni Mkurugenzi mwandamizi Ben Kisaka na nyuma ya Pinto ni Mtaalamu wa Mambo ya Habari wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu.




Read more...

MAKAMU WA RAIS DR. SHEIN ASHIRIKI HARAMBEE YA KUCHANGIA HOSPITALI YA BUGANDO

Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akizungumza na Mzee Rajan ambaye ndiye alikuwa mhisani Mkuu wa chakula cha jioni kilichaandaliwa katika hotel ya Mariot jijini London kwa lengo la kukusanya fedha za kuimarisha mindombinu ya Hospitali ya bugando pamoja na chuo cha Udaktari cha Bugando.


Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein, Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mwanaidi Sinare Maajar, wakiwa katika picha ya Pamoja na Rais wa Chama cha Tuoch Foundation Lowell Bryan na Mkwewe, chama ambacho ndiyo kunakusanya michango kwa ajili ya kuimarisha miundombinu ya Hospitali ya Bugando, hafla ya kuchangisha fedha hizo imefanyika katika hoteli ya Mariot jijini London Uingereza.
Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein na balozi wa Tanzania nchini UIngereza Mwanaidi Sinare Maajar wakizungumza na mmoja wa waalikwa walioshiriki katika chakula cha kuchangia fedha za kuimarisha miundombinu ya Hospitali ya Bugando,Chuo cha Udaktari Bugando na Udhamini wa wanafunzi wanaosomea udaktari chuoni Bugando katika hoteli ya mariot London.
Picha na Clarence Nanyaro wa Ofisi ya Makamu wa Rais

Read more...

Thursday, March 25, 2010

KCB BENKI YATOA ZAWADI YA PASAKA KWA YATIMA


Mwenyekiti wa Bodi ya benki ya KCB, Mhe Janet Mbene akikabidhi sehemu ya msaada wa vyakula na vitu mbalimbali ikiwa ni zawadi ya sikukuu ya Pasaka kwa watoto yatima wa kituo cha Mbagala Yatima Group Trust Fund kituoni hapo, Mbagala, Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa KCB, Christina Manyenye, Mwenyekiti wa kituo hicho, Winfrida Lubanza na Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Joram Kiarie.

Read more...

Maadhimisho siku ya kifua kikuu Ruvuma


Baadhi ya wananchi wa Kata ya Ruvuma Manispaa ya Songea wakiwa katika Msururu kupima afya zao hasa VVU/UKIMWI na Makohozi katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu Duniani kilichoadhimishwakimkoa Mtaa wa Ruvuma Chini ,Songea Mjini Jumatano wiki hii.Picha na Juma Nyumayo

Read more...

Balozi wa Norway nchini aaga


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Amani Abeid Karume,akisalimiana na Balozi wa Norway nchini Tanzania,Jon Lomoy aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi.Picha kwa hisani ya Ramadhan Othman Ikulu zanzibar.

Read more...

Zantel yazindua promosheni ya chomoka na piki piki jijjini Mwanza


Shoto ni Meneja mauzo wa Zantel Bw. Reyemamu akifafanua jambo kwa Meneja mauzo mkoa wa Mwanza Bw. Keneddy Ndonodo akiwa na Msaidizi mstaafu wa mkuu wa mkoa wa Mwanza Bw. Serenge Mlengo wakati wa uzinduzi wa promosheni ya Chomoka na Piki piki iliofanyika jijini Mwanza jana

Read more...

Katuni ya Nipashe


Read more...

Mdadisi wa Mwananchi


Read more...

Katuni ya Kipanya


Read more...

Serengeti breweries yatumbukiza Milioni 12 Miss Universe

Ofisa Uhusiano wa Serengeti Breweries, Imani Lwiga (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya shs milioni 12 kwa Mkurugenzi wa Compass Communikcations, Maria Sarungi ikiwa ni sehemu ya udhamini wa kampuni hiyo katika mashindano ya Miss Universe Tanzania 2010 wakati wa hafla ya uzinduzi wake kwenye Hoteli ya Moevenpick Royal Palm jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni mrembo anayemaliza muda wake, Iluminata James.


Meneja Masoko wa Precision Air, Emilian Rwejuna (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu udhamini wao katika kinyang’anyiro cha kumtafuta Miss Universe Tanzania 2010 katika hafla ya uzinduzi wa mshindano ya mwaka huu kwenye Hoteli ya Moevenpick Royal Palm jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko wa PSI, John Wanyancha na Meneja Mauzo na Masoko wa Moevenpick, Zena Sapi ambao wote ni wadhamini wa mashindano hayo.



Miss Universe Tanzania 2009, Iluminata James akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ua uzinduzi wa mashindano ya mwaka huu ya kumtafuta Miss Universe Tanzania jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Ofisa Uhusiano wa Serengeti Breweries, Imani Lwiga na Mkurugenzi wa Compass Communications, Maria Sarungi.

Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Serengeti Breweriers Ltd Imani Lwinga kushoto akikabidhi Mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 12 kwa mkurugenzi wa kampuni ya Compass Communication Co. Ltd Maria Sarungi ambao ni wandaaji wa Miss Universe Tanzania kulia na katikati ni Miss Universe Tanzania 2009 Illuminata Jemsi, ikiwa ni udhamini wa shindano la Miss Universe 2010.


Read more...

Twiga yachangia tani 100 za saruji waathirika wa Kilosa


Mkurugenzi wa Biashara wa Kiwanda cha Saruji cha Twiga, Steinar Harstad (kushoto) na Ofisa wa Kiwanda hicho aneshugulika na Huduma za Jamii Natasha D'Souza wakimkabidhi Mbunge wa Kilosa na Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo tani 100 ya saruji kwaajili ya ujenzi wa nyumba za waathirika wa mafuriko Kilosa. Makabidhiano hayo yalifanyika jana Dar es Salaam.

Read more...

Wednesday, March 24, 2010

Karume azindua majengo Mbweni


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,akizungumza na wananchi na wanafunzi wa chuo cha Afya,Wizara ya afya na ustawi wa jamii,baada ya kuzindua majengo mapya ya chuo hicho huko mbweni nje ya mji wa Zanzibar.

Mapinduzi,Dk Amani Abeid Karume,akipata maelezo wakati alipotembelea sehemu za mafunzo ya aina mbali mbali ya mafunzo ya matibabu mara baada ya kuzinduz majengo mapya ya chuo cha Afya Mbweni Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar jana


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa majengo mapya ya Chuo cha Afya cha Zanzibar,Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar jana

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,akikata utepe kama ishara ya Uzinduzi wa majengo mapya ya chuo cha Afya Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Sultan Mohammed Mugheiry.





Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Afya cha Wizara ya afya na Ustawi wa Jamii,wakimsikilza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Amani Abeid Karume,alipozungumza nao baada ya kuzindua majengo mapya ya Chuo hicho huko Mbweni nje ya mji wa Zanzibar. Picha kwa hisani ya Ramadhan Othman Ikulu Zanzibar.

Read more...

VODACOM YAZINDUA "HABARI NDIYO HIYO" KATIKA VYOMBO VYA HABARI


Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communication Limited Sam Sollei wakifurahia jambo wakati Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba na Mkurugenzi wa masoko Ephraim Mafuru,Meneja Mawasiliano wa Vodacom walipotembelea ofisi zao na kuhabarisha kuhusu “habari ndiyo hii”ambapo mtandao wao ulivyoshusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom.

Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru(katikati)akiongea na waandishi wa habari wa maghazeti ya IPP Media walipotembelea ofisi zao na kuwahabarisha kuhusu “habari ndiyo hii”ambapo mtandao wao ulivyoshusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom.kulia ni Mkurugenzi wa mahusiano wa Vodacom Mwamvita Makama na kushoto ni Mhariri Mkuu wa ghazeti la The Guardian Wallace Mahugo.


Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba na Mkurugenzi wa masoko Ephraim Mafuru wakiongea na wahariri wa New Habari 2006 Limite walipotembelea ofisi zao na kuwahabarisha kuhusu “habari ndiyo hii”ambapo mtandao wao ulivyoshusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom.


Meneja wa Tawi la Dar Es Salaam wa Sahara Communication Mr. Harun Buzohera akielezea jambo kwa Mkurugenzi wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru wakati wakiwa katika ziara kwa ofisi za vyombo vya habari na ikiwa ni utambulisho wa promosheni ya “habari ndiyo hii” ambapo mtandao wa Vodacom umeshusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom.


Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba na Mkurugenzi wa masoko Ephraim Mafuru,Meneja Mawasiliano wa Vodacom wakiongea na wahariri wa TBC1 na TBC katika ofisi zao kuhusu “habari ndiyo hii”ambapo mtandao wake ulivyoshusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom





Hii ndiyo team nzima iliyofikisha”habari ndiyo hii”kwa vyombo vya habari ambapo mtandao wa Vodacom ulivyoshusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom.




Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru(kushoto) Mhariri wa TBC1 Jane Shirima wakizindua rasmi “habari ndiyo hii”kwa wateja wa mtandao wa Vodacom ambapo mtandao huo umeshusha gharama za maongezi kwa wateja wake kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom.





Baadhi ya waandishi wa habari wa Daily News na Habarileo wakiwa katika uzinduzi wa “HABARI NDIYO HII”







Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba na Mkurugenzi wa masoko Ephraim Mafuru wakiongea na wahariri wa Africa Media Group Limited katika ofisi zao kuhusu “habari ndiyo hii”ambapo mtandao wake ulivyoshusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom.
















Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba wapili kutoka kushoto akiongea na waandishi wa habari wa Business Times katika ofisi zao kuhusu “habari ndiyo hii”ambapo mtandao wake ulivyoshusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom,kushoto ni Mhariri wa Darleo Imma Mbugunili, Mkurugenzi wa masoko Ephraim Mafuru,Meneja husiano wa Vodacom Mwamvita Makamba na kushoto ni Kaimmawasiliano wa Vodacom Nector Pendael Foya





Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru(katikati)akiongea na waandishi wa habari wa maghazeti mama ya Daily News na Habarileo katika ofisi zao kuhusu “habari ndiyo hii”ambapo mtandao wake ulivyoshusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom,kulia ni Mkurugenzi wa mahusiano wa Vodacom Mwamvita Makamba na kushoto ni Kaimu Mhariri wa maghazeti hayo Gabby Mgaya.










Read more...

Tuesday, March 23, 2010

MANENO YA WAHENGA


Hapa nimevutiwa na maandishi kwani kweli wahenga walisema maskini haokoti na akiokota huambiwa kaiba. Hivyo ndivyo lilivyosomeka gari la mafuta huko kijijini Mwendapole Mkoa wa Pwani leo nami nikaona niwaleteeni wdau ujumbe huu. Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO

Read more...

ZANTEL YAJA NA CHOMOKA NA MKWANJA KWA WAKAZI WA ARUSHA NA KILIMANJARO.


Meneja Mauzo wa Zantel Tanzania Rweyememu Protace akiongea na waandishi wa habari kuelezea jinsi ya kushiriki promosheni ya Chomoka na Mkwanja.

Read more...

Kazi ya Uandikishaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Dar es Salaam Waanza


Mwandikishaji wa daftari la wapigakura katika Kituo cha Hananasif, Kinondoni, Flora Luhamo (kushoto) akiwaandikisha wakazi wa eneo hilo waliofika kituoni hapo.Kazi ya uandikishaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, Dar es Salaam litamudu kwa wiki moja. Picha na Fadhili Akida

Read more...

VODACOM YAZINDUA "HABARI NDIYO HIYO"


Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania, Ephraim Mafuru (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wa HabariLeo na Daily News wakati Vodacom alipotembelea chumba cha habari cha magazeti hayo kutangaza rasmi pungozo la gharama za upigaji simu. Kushoto ni Mhariri Msaidizi wa Daily News, Gabby Mgaya na kulia ni Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom, Mwamvita Makamba.Punguzo hilo la gharama za upigaji siku linakwenda kwajina la HABARI NDIO HIYO.

Read more...

Mkutano wa Afya na Uwezeshaji


Mkurugenzi Mtendaji wa Tianshi nchini, Ammy Lee (kushoto) akimsikiliza kwa umakini Mratibu Elimu na Masoko kampuni hiyo, Elly Majaliwa, walipohudhulia mkutano wa afya na uwezeshaji kwa wakazi wa mkoa wa Morogoro wa kuwapatia mbinu za kuendesha biashara. Picha na Juma Mtanda

Read more...

Mama Salma Kikwete katika ziara Arumeru

Mama Salma Kikwete akiwasalimia wananchi wa Arumeru nje ya jengo la mkuu wa wilaya ya Arumeru huko Usa river mkoani Arusha.


Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake wa Maendeleo(WAMA) Mama Salma Kikwete akimkabidhi vifaa vya Hospitali, Mganga Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Dr.Azizi Msuya, kwa ajili ya kituo cha afya cha Engarenanyuki. Makabidhiano hayo yalifanyika jana.

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake wa Maendeleo(WAMA) Mama Salma Kikwete akiongea na viongozi wa Mkoa na Wilaya ya Arumeru katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Arumeru- Usa River leo.



Mama Salma Kikwete akiangalia ngoma ya kabila la wamasai wanaoishi katika kijiji cha Engarenanyuki kilichoko katika wilaya ya Arumeru leo.

Read more...

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP