Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Monday, August 3, 2009

Jamaa wanagombea usafiri kuelekea mzigoni@@


Read more...

Kidude usoni kina maana gani kwa wahindi?

Hebu jamani kwa wale wanaofahamu hiki kidude usoni watusaidie maana watu wengi kinawachanganya.

Read more...

Mwenye maelezo ya picha hii atusaidie!!


Read more...

Uzazi wa Mpango unawezekana?


Read more...

Haya mnaotaka kufuga mbwa mpo?

Kama unataka mbwa huyu sema tukupeleke wanakopatikana!!!

Read more...

Kituo cha kimataifa cha kisasa cha uchunguzi wa Radiolojia

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM) Profesa Shaban Mlacha (kushoto) akimuonesha mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Deogratias Ntukamazina eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa kituo hicho. Kulia Ni mkurugenzi wa kanda ya Kati wa NHIF Chriostopher Mapunda.

Read more...

JK ndani ya maonesho ya nane nane Dodoma

JK akikagua matunda aina ya topetope wakati alipotembelea viwanja vya maonesho ya Nanenane huko eneo la Ihumwa nje kidogo ya mji wa Dodoma.


JK akiangalia mafuta ya Alizeti yaliyozalishwa na wakulima wadogowadogo mkoani Dodoma jan wakati alipotembelea baadhi ya mabanda katika viwanja vya Nanenane.




Read more...


Unalindwa kwa hesima zote mwenge wetu wa uhuru

Msafara wa wakimbiza Mwenge wa Uhuru ukipelekwa panapohusika,kulia ni mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Jordan Lugimbana akiwasalimia baadhi ya wananchi waliofika katika viwanaj hivyo kuupokea Mwenge wa Uhuru jana jioni.


Mwenge wa Uhuru ukiwasili jana jioni Kata ya Kawe katika viwanja vya Tanganyika Pekaz,Wilaya ya Kinondoni jijini Dar.

Picha zote na MichuziJR

Read more...

Gazeti la Mtanzania




Read more...

Gazeti la Tanzania Daima



Read more...

Gazeti la Kulikoni



Read more...

JK visit at Museveni's private ranch in Rwakitura village


President Yoweri Kaguta Museveni of Uganda(On the driving seat) shows President Jakaya Mrisho Kikwete the surroundings of his Private Ranch in Rwatiura Village in South western Province of Uganda recently at the end of Smart Partnership summit held in Kampala.Through various initiatives most pastoralists in Rwakitura village have adopted modern and improved methods of keeping their livestock.



One of the settled pastoralists in Rwakatura village, in Uganda John Texas(centre) explains to President Jakaya Mrisho Kikwete(right) and his host President Yoweri Museveni of uganda(left) the success of his new poultry project that eables him to earn substantial amount of income using simple but advanced scientific methods through extention services.President Kikwete was in Uganda to attend the Global 2009 Smart Partnership Summit in Kampala with the aim of working out joint development solutions to world's pertinet issues. Photos by Freddy Maro of State House.


President Jakaya Mrisho Kikwete and his host President Yoweri Kaguta Museveni of Uganda in an informal conversation at President Museveni's private ranch in Rwakitura village, in South Western Province in Uganda at the end of the Global 2009 smart Partnership summit held in the ugandan capital Kampala recently.President Kikwete toured the model ranch at the invitation of President Museveni and visited some pastoralists who have settled in the village and have adopted advanced methods of keeping their livestocks.some Pastoralists in the Rwakitura village told Presdeint Kikwete that the advanced and scientific livestock keeping methods have anabled them to earn enough cash to send their children to school and build better permanent homes.

Read more...

Vodacom waendelea kumwaga madawati mashuleni


Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Makuka wakifurahia msaada wa madawati pamoja na Mwalimu mkuu wao muda mfupi baada ya kukabidhiwa msaada wa Madawati 70 na Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania

Wanafunzi na mwalimu wao wakifurahia madawati mapya


Mkuu wa Vodacom Fondation Mwamvita Makamba akikabidhi moja ya madawati 70 kwa Walim Wakuu wa Shule za Msingi Makuka na Kilungule zilioko wilaya ya Kinondoni Bi Sara Mwaseba na Peter Kamwera ikiwa ni mwisho wa kampeni ya kutoa msaada ya madawati 400 yenye thamani ya zaidi ya shilingi M 32 katika shule za msingi za mkoa wa Dares Salaam

Read more...

Picha za matukio ya Miss Temeke

Top ten Miss Temeke 2009

Top five Miss Temeke 2009

Mwandaaji na mkurugenzi wa BMP Bw. Benny Kissaka akitangaza washindi mara baada ya majaji kumkabidhi majina ya warembo walichaguliwa katikashindano la Redds Miss Temeke 2009 lililofanyika kwenye viwanja vya TCC Sigara Chang'ombe usiku wa kuamkia leo kulia ni Jokate Mwegelo ambaye alikuwa msema chochote katika shindano hilo yaani MC.



Huyu ndiyo Redds Miss Temeke 2009 Sia Ndeskoi kama unavyomuaona akipungia mikono mashabiki mbalimbali mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano la urembo kanda ya Temeke lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa TCC Sigara Chang'ombe.













Hatimaye Redds Miss Temeke 2009 amepatikana ambaye ni Sia Ndeskoi kama unavyomuaona katika picha akiwa kati lakini katika picha nyingine katika pozi tofauti sambamba naye wapo warembo walioshiriki naye shindano hilo. shindano la urembo kanda ya Temeke lilifanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa TCC Sigara Chang'ombe na kuhudhuriwa na mashabiki wengi wa urembo




Read more...

Saturday, August 1, 2009

Gazeti la Majira



Read more...

Gazeti la Tanzania Daima



Read more...

Gazeti la Habarileo



Read more...

Miss Kinondoni 2009 yafunika.


hapa majaji wakatangaza washinda watano bora wa shindano la Redds Miss Kinondoni kutoka kulia niAloycia Inocent,Yvonne Bigirwa, Sandra, Lulu Ibarahim na Amney Omary.

Huyu ndiye Lulu Ibrahim Redds Miss Kinondoni 2009 mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano lillilokuwa la kukata na shoka na lililofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es alaam

Read more...

JK na Msajili wa Mahakama ya Rufani na Majaji wa Mahakama kuu wapya


JK akila pozi na Majaji wa Mahakama Kuu 10 wapya na Msajili wa Mahakama ya Rufaa baada ya kuwaapisha jioni hii Ikulu Dar.
Toka shoto mbele ni Wah. Majaji Hamisa Hamisi Kalombola,Fatuma Hamisi Massengi, JK, Pelaggia Barnabas Khaday na Frederica William Mgaya.
Wengine nyuma toka shoto ni Msajili wa Mahakama ya Rufaa Francis Katabazi Mutungi, Wah. Majaji Ferdinand Wambali, Eliamani Mbise, Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi,Sekela Moshi,Moses Gunga Mzuna and Prof.Ibrahim Hamisi Juma. Picha na Freddy Maro wa Ikulu.

Read more...

Abdallah Mitawi na Mwanaharusi Shein wameremeta

Bi. harusi Mwanaharusi Shein na bwana harusi Abdalla Mitawi kwenye sherehe yao iliyofanyika tarehe 26/07/2009 zenji ndani ya bwawani hotel . Shoto ni mdogo wa mbwana harusi Aliy Mitawi na kulia ni kaka wa bwana harusi Eddy Mitawi.

Read more...

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP