Picha za matukio ya Miss Temeke
Mwandaaji na mkurugenzi wa BMP Bw. Benny Kissaka akitangaza washindi mara baada ya majaji kumkabidhi majina ya warembo walichaguliwa katikashindano la Redds Miss Temeke 2009 lililofanyika kwenye viwanja vya TCC Sigara Chang'ombe usiku wa kuamkia leo kulia ni Jokate Mwegelo ambaye alikuwa msema chochote katika shindano hilo yaani MC.
Huyu ndiyo Redds Miss Temeke 2009 Sia Ndeskoi kama unavyomuaona akipungia mikono mashabiki mbalimbali mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano la urembo kanda ya Temeke lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa TCC Sigara Chang'ombe.


0 comments:
Post a Comment