Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, September 25, 2009

Vodacom foundation wazindua mradi wa yatima Mbagala

Mlezi wa kituo cha Yatima Group Trust Fund Winfreda Rubanje(kushoto)akiwaelekeza mazingira ya kituo hicho Afisa Mkuu wa mahusiano ya kibiashara wa Vodacom group Bob Collymore(katikati) Mkurugenzi wa mahusiano wa mambo ya nje wa Vodafone Matthew Kirk(kulia)Walipoenda kuzindua mradi wa mifugo wenye thamani wa Sh Milioni 12 kwa ajili ya kusaidia huduma za watoto yatima wa kituo hicho.



Mkurugenzi Mtendaji wa Vodafone barani Ulaya na Africa Morten Lundal (katikati) akimwelekeza kuandika mmoja wa watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha Yatima Group Trust Fund Izack Lubanza(kushoto)wakati walipoenda kuzindua mradi wa mifugo wenye thamani ya Sh Milioni 12 kwa ajili ya kusaidia huduma za watoto yatima wa kituo hicho.(kulia) Mkurugenzi wa mahusiano wa mambo ya nje wa Vodafone Matthew Kirk


Mkurugenzi mahusiano wa mambo ya nje wa Vodafone Matthew Kirk akipata maelekezo kutoka kwa Meneja wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule kuhusiana na Mradi wa Mifugo wenye thamani ya shilingi Milioni 12 kwa ajili ya kusaidia kituo cha Yatima Group Trust Fund chamanzi mbagala.



Wakurugenzi wa Vodafone na Vodacom wakienda kuzindua rasmi mradi wa mifugo wenye thamani ya Sh Milioni 12 kwa ajili ya kusaidia huduma za watoto yatima wa kituo cha Yatima Trust Fund cha chamanzi mbagala.



Read more...

EABL yaisaidia Hospitali ya KCMC Moshi

Kampuni ya bia ya East African Breweries Limited EABL iliyoko nchiniKenya imejengakitengo cha huduma ya macho katika hospitli ya rufaa yaKCMC ambacho kitagharimu zaidi ya shilling million 150 hadi kukamilika.
Akizungumza wakati wa kukagua ujenzi wa jingo hilo Mkurugenzi wa Idaraya huduma wa kampuni hiyo bwana Ken Kariuki alisema kampuni hiyo iliamuakujenga kitengo hicho baada ya kufika katika hospitali hiyo na kukutahaina kitengo cha macho.
Bwana Kariuki alisema jingo hilo ambalolimeanza kujengwa miaka miwili iliyopita wanatajia kulimaliza mwezioctoba mwaka huu na watalikabidhi kw wahusika ili wananchi wa moshi namaeneo jirani ya nje na ndani ya nchi waweze kunufaika na huduma yamacho.
Kampuni yetu hujishughulisha sana na mambo mbalimbali ya kusaidia jamiiikiwa ndio njia mojawapo ya kurudisha faida tunayoipata kutoka kwawananchi, na ndipo tulipoamua kuja kuuliza wananchi wa mkoa waKilimanjaro kuwa wanahitaji nini na walisema wanakabiliwa na tatizo lakitengo cha macho katika hospitali hiyo, alisema Bwana Kariuki.
Katika ukaguzi wa mradi huu alikuwepo pia na Mkuu wa mkoa wa KilimanjaroBibi Monica Mbega naye aliishukuru sana kampuni hii ya bia ya Africa Mashariki kwa kuwa mbele kuisaidia jamii kwa kujenga wodi ya macho nakuendeleza miradi ya maji kama vile ule mradi wa Mkuranga ambaoumeigharimu EABL kiasi cha million 350 na mradi huu umeweza kusaidiazaidi ya kata 11 na watu zaidi ya 300,000 wamefaidika.



Read more...

Temeke wapatiwa msaada na KCB


Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa benki ya KCB Christina Manyenye (kushoto) akimuonyesha Naibu Meya wa Manispaa ya Temeke Noel Kipangule moja ya nyaraka zinazoonyesha matumizi ya kitanda hicho cha kujifungulia wakina mama chenye thamani ya shilingi Milioni 7.8 walichotoa msaada katika Hospital hiyo.(kulia)Mganga Mkuu wa Hospital ya Temeke Asha Mahita.

Read more...

Kikwete spearheads africa's anti-malaria drive

President Jakaya Mrisho Kikwete chats with The Un Secretary General's Special envoy for Malaria Raymond Chambers during the African Leaerds Malaria alliance ALMA yesterday evening at the UN Headquarters in New York.

President Jakaya Mrisho Kikwete chats with President Paul Kagame of Rwanda during the launch of ALMA in New York yesterday evening. Behind the are Presidents Robert Mugabe of Zimbabwe and Koroma of Sierra Leonne.


President Jakaya Mrisho Kikwete chairs a special meeting of African leaders during a special ceremony to launch African Leaders Malaria Alliance ALMA at the UN Headquarters in New York yesterday evening.Others from left Presidents Robert Mugabe of Zimbabwe,Yoweri Museveni of Uganda na on the right is President Koroma of Sierra Leonne.

President Jakaya Kikwete addresses dignitaries who attended the ceremony to launch African Leaders Malaria Alliance held at UN Headquarters in New York yesterday evening


Read more...

Thursday, September 24, 2009

Mabomu tena Mbagala

Mpiga picha wa Nipashe Selemeni Mpochi akipata snap za majeruhi huko Mbagala.

Mkazi wa Mbagala kuu mama Eva Paulo katikati akiwa na watoto wake Asha Suleiman miaka 5 Kulia na Saada Suleiman miaka 2 walionusurika katika ajali ya bomu hilo wakipata kifungua kinywa mara baada ya kupata matibabu hospitalini na kuruhusiwa kurejea nyumbani familia hii pia imepoteza mtoto mmoja.




Maafisa wa usalama pamoja na raia wakiokota vipande vya bomu hilo leo asubuhi mara baada ya kulipuka na kuuwa watoto wawili na kujeruhi wengine.

Read more...

Wednesday, September 23, 2009

Miss Tanzania ndani ya TBL

Mtaalam wa kupika bia Bw. Carvin Nkya akiwaelezea jambo warembo wa Vodacom Miss Tanzania jinsi bia zinavyopikwa katika mitambo yao.


Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wakiingia kiwandani hapo kwa ajili ya kutembelea ili kujifunza mambo mbalimbali juu ya uzalishaji wa vinywaji mbalimbali kiwandani hapo.



Meneja wa kinyaji cha Redds Kabula Nshimo akiongea na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali mara baada ya warembo wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania kutembelea kiwanda cha Tanzania Breweriers Limited kilichopo Ilala jijini Dar es salaam kwa lengo la kujifunza mambo mbalimbali juu ya uzalishaji wa vinywaji vinavyotengenezwa na kiwanda hicho,

Read more...

Mtoto Stephano Sasa apona kabisa

Stephano Juma akiw amebebwa na baba yake hospitali ya Taifa ya Muhimbili
Mwanzoni mwa Matibabu yake








Baba Mzazi wa Stephano akiwa na Mwanae baada ya Kupona na Marissawa Lagmann of SickKids Toronto







The Tanzania Community in Toronto is holding a farewell party for Stephano on September 26; before his return to Tanzania On October 18,2009.He looks great after more than six years of trying to get help without success! Seeabove.
I read about Stephano in the Guardian and met him last May and was moved to act.Thanks to the many in Dar es Salaam and Toronto who helped...to mention a few.Marissa Lagmann of SickKids Toronto;Mwesiga Baruti,and Thomas Kimata of Dar es Salaam;Canadian High Commission in Nairobi;Catherine Kasoyaga, Shamila Mohamedi,Levina Kahumba,Salma Mwahu and many more from Toronto!Many pictures will be made availabe on "FACEBOOK."If you want to be part of our NGO in Dar es Salaam,or if you know of any child sixteen years old or younger who needs an operation,and can't afford it please let us know!We can help free of charge!Many thanks to you all!Mabula Sabula

Read more...

WAZIRI MKUU ATETA NA BOSI WA VODAFONE

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkurugenzi wa Masuala ya Kimataifa wa kampuni ya Vodafone (Group External Affairs Director, Vodafone), Bw. Matthew Kirk kabla ya mazungumzo yao , Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 23, 2009.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Vodafone katika Kanda ya Afrika na Ulaya (Chief Executive Officer for Africa and Central Europe Region), Bw. Marten Lundal (kushoto) na Mkurugenzi wa masuala ya Kimataifa wa kampuni hiyo, Matthew Kirk (katikati), Ofisini kwake jijini Dar es salaam, Septemba 23, 2009. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Read more...

Hii ndiyo tiba mbadala ya watu wa Kigamboni


Read more...

Nani anaweza kubishana na usingizi?


Read more...

AY APOKEWA KWA BONGE LA PARTY MALAYSIA







Hizi ni Picha maalum za welcome Party aliyofanyiwa jana msanii AY kwenye Club ya HELO BALI mjini Kualar Lumpa, Malaysia.
Show kamili inafanyika kesho tarehe 24 kwenye ukumbi wa TITUNIUM CLUB.

Read more...

Usafiri huu jina lake ni " Mshikaki"







Read more...

Miss TZ in A-taun

The Miss Tanzania finalists visited the UN International Criminal Tribunal for Rwanda during their tour of Kilimjaro and Arusha, and were briefed on theRwanda genocide and what the international community through the UN wasdoing to promote international criminal justice.
They were also reminded oftheir role in promoting the rule of law and human rights as role models ofthe community. Pictured here with the beauties are Mr. Bocar Sy, Chief of Press and Public Affairs of the UN - ICTR (in white robe), flanked on hisright by the Tribunal Information Officer, Danford Mpumilwa, the Arusha Coordinator of Miss Tanzania Mr. Erasto Jones (left) and Miss Tanzania Chief of Protocal Mr. Albert Makoye.

Read more...

Hebu angalia hizi Picha!

Huyu bibi si alikuwa sister duu kama picha za warembo hapo chini.


Hebu angalia ni yupi kati ya picha zote atakaefanana na Bi Kidude na mwenzake watakapozeeka.



1. Mrembo au Modo
2.Miss Fulani






3. Mrembo Fulani




4. Miss ......








Warembo


Naomba mniambie ni mrembo namba ngapi atafanana na Bi Kidude na mwenzake.

Read more...

Kwa wanafunzi wa Chuo tu!!!

Kwa wale wenye ka mchezo kama haka sasa hiyo ni style mpya, najua hata msimamizi hataweza kuambua kitu.

Read more...

Waziri Nchimbi ziarani Lebanon, Yerusalem

Naibu Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Emmanuel Nchimbi, akiwa ziarani Lebanon ambapo alikwenda kujionea mwenyewe operesheni za ulinzi wa amani zinavyofanyika huko na hapa anaonekana akitembelea eneo mwamba ambao alijipumzisha Yesu enzi zile akisambaza neno la Mungu.


Hapa ni eneo ambapo Nabii Mussa aliweza kuonyesha muujiza baada ya kuchapa fimbo jangwani na maji yakatiririka, maji haya yanatiririka hadi leo hii kama unavyoona katika bomba.










Nchimbi akikagua kombania ya vikosi vya Umoja wa Mataifa vya kulinda amani nchini Lebanon.Picha kwa hisani ya Wizara ya Ulinzi.


Read more...

Maziko ya Mama Mary Anitha Peter Ngowi

Mama Jairo akiongoza kundi la marafiki wa karibu na wanasheria wenza wa marehemu katika mazishi

innocent mungy ndiye aliyekuwa MC wa shughuli nzima. hapa akiwa kazini na mdogo wa marehemu roderick ngowi wakati wa mazishi


Mdogo wa marehemu Roderick Ngowi wa anayafanya kazi shirika la habari la AP huko marekani akosma risala ya familia



mama wa marehemu wakiwa na mabinzi zake mazishini



waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais (masuala ya muungano) mh. muhammad seif khatib akiweka shada la maua kaburini huku waziri wa mambo ya ndani mh. lawrence masha akisogea kufanya hivyo pia







watoto wa marehemu wakiweka shada la maua juu ya kaburi la mama yao


makamu wa rais dk. ali mohamed shein na mama mwanamema shein wakitoa heshima zao








makamu wa rais dk. ali mohamed shein aliongoza mazishi hayo yaliyohudhuriwa na mamia ya waombolezaji








wadogo wa marehemu wakitoa heshima zaoa za mwisho









mawakili wenzie na marafiki wa marehemu wakibeba jeneza








Read more...

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP