Mama Jairo akiongoza kundi la marafiki wa karibu na wanasheria wenza wa marehemu katika mazishi

innocent mungy ndiye aliyekuwa MC wa shughuli nzima. hapa akiwa kazini na mdogo wa marehemu roderick ngowi wakati wa mazishi

Mdogo wa marehemu Roderick Ngowi wa anayafanya kazi shirika la habari la AP huko marekani akosma risala ya familia

mama wa marehemu wakiwa na mabinzi zake mazishini

waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais (masuala ya muungano) mh. muhammad seif khatib akiweka shada la maua kaburini huku waziri wa mambo ya ndani mh. lawrence masha akisogea kufanya hivyo pia

watoto wa marehemu wakiweka shada la maua juu ya kaburi la mama yao

makamu wa rais dk. ali mohamed shein na mama mwanamema shein wakitoa heshima zao

makamu wa rais dk. ali mohamed shein aliongoza mazishi hayo yaliyohudhuriwa na mamia ya waombolezaji

wadogo wa marehemu wakitoa heshima zaoa za mwisho

mawakili wenzie na marafiki wa marehemu wakibeba jeneza
0 comments:
Post a Comment