Bulyanhulu wapongeza wafanyakazi

Mr.Don Strickland- aliepokea tuzo kutoka kwa Prof Juma Kapuya kwa kuendeleza wazawa kwenye kitengo chake.watanzania zaidi ya 20 kwenye kitengo cha usafishaji dhahabu wameshachukua nafasi zilizokua zimekamatwa na wazungu miaka 2 iliyopita.Nafasi hizo ni nyeti sana migodini na huyu bwana amehakikisha kwa sasa hizo nafasi wamekamata waswahili.
0 comments:
Post a Comment