Meli yalipuka na kuwaka moto Dar
Wakazi wa maeneo mbalimbali wakiangalia jinsi meli hiyo ilivyokuwa ikiungua kwenye bandari ya Dar es alaam asubuhi hii.
Mmoja wa wafanyakazi wa Bandari ambaye alikuwepo katika eneo la tukio na ambaye hakutaka kutajwa jina lake amesema kuwa inasemekana meli hiyo ilinunuliwa na mfanyabiashara Bakhressa na ilikuwa ikifanyiwa matengenezo madogomadogo, ndipo ikatokea hitilafu katika mfumo wa umeme kitu kilichosababisha ilipuke moto, hata hivyo bado jeshi la polisi na Mamlaka ya Bandari hawajatoa taarifa yoyote mpaka sasa taarifa zaidi tutawaletea baad
0 comments:
Post a Comment