JK azindua mradi mkubwa wa maji manyoni
JK akimpongeza Padre Timothy Coday wa Shirika la Damu Azizi ya Yesu la Kanisa Katoliki muda mfupi baada ya kuzindua mradi wa maji katika eneo la Mtoo, mjini Manyoni,mkoani Singida leo mchana.Padre Coday ni mfadhili mkuu wa mradi huo kwa kushirikiana na Halmashauri wa Mji wa Manyoni.Wapili kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Singida Parseko Ole Kone na kulia nia katibu Mkuu wizara ya Maji Christopher Sayi.
JK akifunua kitambaa kuweka jiwe la Msingi kuzindua mradi wa Maji Mjini Manyoni jana mchana kushoto liyevaa t-shirt ya Bluu ni mfadhili mkuu wa mradi huo Padre Timothy Coday wa Shirika la Damu Azizi ya Yesu la Kanisa Katoliki na Kulia ni Mbunge wa Manyoni ambaye pia ni Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa John Chiligati.
Picha na Freddy Maro wa Ikulu.
0 comments:
Post a Comment