Mkuu wa msafara wa Mwenge wa Uhuru Bw.Kheri Ahmad Mwawala akijitolea kupima afya yake na mtaalamu bi.Fransisca Kwezi,hiyo ikiwa ni moja ya uhamasishaji wa kupima afya kwa jamii katika suala zima la kupambana na maambukizi ya virusi vya UKIMWI,kwenye sherehe za mbio za Mwenge wa Uhuru jana jioni Kawe.

Mmoja wa Wafanyakazi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya T.MARC akidemostrate matumizi ya kandomu ya kike ya LADY PEPETA mbele ya Mkuu wa msafara wa Mwenge wa Uhuru Bw.Kheri Ahmad Mwawala .

Demostration ya Kondomu aina ya DUME na uume bandia mbele ya mbele ya Mkuu wa msafara wa Mwenge wa Uhuru Bw.Kheri Ahmad Mwawala na watu mbalimbali waliofika kwenye banda hilo la T.MARC

Muigizaji mahiri wa maigizo hapa jijini Mzee Small Wang'amba akitoa maelezo mafupi mbele mbele ya Mkuu wa msafara wa Mwenge wa Uhuru Bw.Kheri Ahmad Mwawala kuhusiana na bidhaa zinazotolewa na taasisi ya T.MARC
0 comments:
Post a Comment