Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Wednesday, September 9, 2009

Vodacom Business Yazinduliwa


Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom Business Dylan Lennox akizungumza wakati wa uzinduzi wa kitengo hicho cha Biashara Dar es salaam leo



Maofisa wa Vodacom Business wakiwa katika uzinduzi huo.



Wafanyakzi wa Vodacom na Vodacom Foundations wakiwa katika uzinduzi huo leo. Huduma hiyo itawawezesha wafanyabiashara na watanzania kwa ujumla

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP