Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, William Lukuvi,(kulia) akikabidhi Meza za Magurudumu yenye lengo la kuboresha maisha ya wauza magazeti,kwa Mkuu wa Masoko wa Zain Chirui Walingo,wakati wa Uzinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar leo mchana, kushoto ni meneja wa Zain, Beatrice Singano

Baadhi ya wafanyakazi hao waliobahatika kupata meza za kuuzia magazeti kama wanavyoonekana leo mchana kwenye hafla fupi iliyofanyika karimjee hall,jijini

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, William Lukuvi wa pili kulia, akiwasili katika viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam, kuzindua Meza za Magurudumu yenye lengo la kuboresha maisha ya wauza magazeti,kulia kwake ni Mkuu wa Masoko wa Zain Chirui Walingo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, William Lukuvi,akifafanua jambo wakati wa Uzinduzi wa Meza za Magurudumu yenye lengo la kuboresha maisha ya wauza magazeti, uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee,jijini Dar leo mchana,kulia ni meneja wa Zain, Beatrice Singano.
0 comments:
Post a Comment