Rais Jakaya Kikwete akimfariji Inspekta Jenerali mstaafu wa Jeshi la Polisi Harun Mahundi kufuatia kifo cha Mke wake Clara Mahundi,wakati Rais alipokwenda nyumbani kwa Kamanda Mahundi kuifariji familia hiyo

Rais Jakaya Kikwete akipita kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu Clara Mahundi

Rais Jakaya Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Clara Mahundi mke wa aliyekuwa Mkuu wa jeshi la polisi nchini Inspekta Jenerali Harun Mahundi,nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment