Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Monday, March 22, 2010

Uzinduzi wa CCJ

Mwenyekiti wa Chama cha Jamii (CCJ) Mh. Richard Kiyabo, akizumgumza na waandishi wa habari mara baada ya kuzindua rasmi chama hicho kwenye makao Makuu ya Chama hicho, Mwananyamala, jijini Dar


Wanachama wapya wa CCJ wakipewa kadi leo katika
sherehe rasmi ya kuzindua chama hicho kipya katika makao makuu ya chama mwananyamala jijini Dar
Huu ndiyo mshikemshile wa uzinduzi wa chama cha Jamii(CCJ), Chama hichi kinaundwa na vijana ambao CCJ inasema ndio vigogo wa nchi hii, na pichani ni vigogo hao wakiwa katika uzinduzi huo.



Burudani nayo haikuwa nyuma wakati wa uzinduzi wa chama hicho cha CCJ, viuno kama kazi toka kwa vigogo hawa.



Vigogo wa Chama hicho wakicheza kwa furaha, Mwenyekiti alisema chama hicho kitawawezesha kila mwananchi kula nyama tofauti na sasa ambapo nyama huliwa na wachache na waliosalia kuliwa kwa kuvizia misiba au sherehe.




Mbali na uzinduzi huo pia kilitarajiwa kutangaza orodha ya vigogo waliojiunga na chama hicho na badala yake wamesema vigogo waliokuwa wakizungumzia ni wananchi au jamii kwa ujumla.



0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP