Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, February 19, 2010

Kwa bangi hizi watu wataacha kuchinja watu?



Polisi wa Wilaya Tarime wakishiriki katika zoezi la kuteketeza Bangi iliyofekwa katika mashamba ya wananchi Wilayani humo.




Mkuu wa Kitengo cha Kudhibiti Dawa za Kulevya, Kamisha Msaidizi wa Polisi, Godfrey Nzowa akishiriki katika Operesheni ya kuteketeza Bangi iliyofanyika Wilalani Tarime Mkoani Mara hivi karibuni. Je zao hili haramu ndio chanzo cha vurugu na mauaji na mapigano ya mara kwa mara ya koo huko Tarime


0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP