Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Tuesday, February 23, 2010

Simbakalia na Kilimo Kwanza



Mkulima wa kijiji cha Chagu tarafa ya Nguruka wilaya Kigoma Aron Hagugu (aliyenyoosha mkono) akimuonyesha Mkuu wa Mkoa Kigoma Joseph simbakalia (mwenye kofia) ukubwa wa shamba lake na mazao yaliyopandwa wakati mkuu huyo wa mkoa alipofanya ziara ya kukagua shughuli za kilimo mkoani humo.SAWAA nimekubali mnatisha nilidhani kazi yenu kuuza samaki aina ya nguruka tu kumbe na kilimo mnajua mpo juu wananchi wangu!RC huyo!




Mkuu wa Mkoa Kigoma Joseph simbakalia (ALIYEVUA KOFIA ) akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi Chagu tarafa ya Nguruka wilaya Kigoma mara baada ya kumaliza mkumtano wa hadhara na wananchi kufuatia wanafunzi hao kuwa na hamu ya kumuona kiongozi huyo.


Mkuu wa Mkoa Kigoma Joseph simbakalia (kulia mwenye kofia)akizungumza na wakulima wa kijiji cha Chagu tarafa ya Nguruka wilaya Kigoma alipofanya ziara ya kukagua shughuli za kilimo katika tarafa hiyo.
Picha zote na Fadhili Abdallah wa Kigoma

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP