Rais Kikwete Afanya shughuli mbalimbali katika ziara yake ya Uturuki!
Askari wa jeshi la Uturuki wakimsindikiza Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenda kuweka shada la maua katika kaburi la mpigania uhuru na mwanzilishi wa Taifa la Uturuki na pia Rais wa kwanza wa taifa hilo jana jijini Ankara.Rais Kikwete yupo nchini Uturuki kwa ziara ya kikazi kwa mwaliko wa Rais Abdullah Gul wa Uturuki
Waziri wa Viwanda Biashara na Masoko Dr.Mary Nagu na Waziri wa nchi wa Uturuki Bwana Zafer Caglayan wakisaini mkataba wa ushirikiano wa kibiashara kati ya Uturuki na Tanzania katika hafla iliyofanyika katika ikulu ya nchi hiyo jijijni Ankara Uturuki leo asubuhi
0 comments:
Post a Comment