Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Monday, October 12, 2009

Shangwe la Fiesta One Love-Mwanza

Wakazi wa jiji la Mwanza wakila shangwe la ukweli la fiesta one love 2009 ndani ya ccm kirumba


Msanii wa muziki wa kizazi kipya Marlow ambaye anatesa na wimbo wake wa Pipi akionesha manjonjo yake kucheza wimbo huo mbele ya wakazi wa jiji la mwanza waliofurika jana kwenye tamasha la fiesta one love 2009 ndani ya uwanja wa ccm kirumba
Msaniii wa kizazi kipya ambaye kwa sasa anakuja juu na kutamba na kibao chake kiitwacho Masogange akiwakuna vilivyo wakazi wa jiji ka mwanza waliojitokeza kwa wingi jana kwenye tamasha la fiesta




Nick wa Pili akionesha umahiri wake wa mitindo huru kwa wana wa mwanza
Picha zaidi za One Love nenda http://michuzijr.blogspot.com/

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP