Rais wa Rwanda Mh. Paul Kagame akitembelea banda la Tanzania Geneva leo

maandalizi na ufunguzi wa Mkutano wa Telecom World 2009uliofunguliwa na katibu mkuu wa UN leo mjinbi Geneva. Huu ni sehemu ya ujumbe wa Tanzania katika mkutano

banda la Tanzania huko Geneva tayari kwa maonesho. washiriki ni TCRA, Wizara yaMawasiliano TZ na wadau wengine

Mkurugenzi Mkuu TCRA Profesa Mkomwa na maafisa wa TCRA wakipewa maelezo kwenye banda la Tanzania kwenye maonesho ya technlogia

Washiriki wa maonesho ya teknolojia ITU Telecom World wakimsikilizaMkurugenzi mkuu wa TCRA (hayupo pichani) wakati wa maandalizi ya mwishomwisho jana jumapili mjini Geneva ndani ya jengo la maonesho la Tanzania
0 comments:
Post a Comment