Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Monday, May 3, 2010

Spika afungua Mkutano wa wadau wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini.

Spika wa Bunge Mhe. Samuel Sitta, akifungua rasmi kongamano la mwaka la wadau wa kuzuia na kupambana na Rushwa lililoandaliwa na Taasisi ya Kuzui na Kupambana na Rushwa nchini (PCCB). Kongamano hilo limefanyika leo katika Ukumbi wa Blue pearl, Ubungo Plaza Dar e es salaam ambapo Spika alikuwa mgeni rasmi. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge.

Wajumbe mbalimbali waliohudhuria kwenye kongamano hilo wakimsikiliza Spika wa Bunge Mh. Samwel Sitta.Mgeni rasmi katika kongamano la wadau wa Kuzui na Kupambana na Rushwa nchini , Spika wa Bunge Mhe. Samuel Sitta, ( katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa Kongamano hilo limefanyika leo katika Ukumbi wa Blue pearl, Ubungo Plaza Dar e es salaam.. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP