Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Monday, July 27, 2009

Bulyanhulu wapongeza wafanyakazi


Mgeni rasmi Mh.Prof Juma Kapuya pamoja na Mh.Jenista Mhagama wakikaribishwa na mkurugenzi wa Barrick Tanzania Bw.Deo Mwanyika (mwenye miwani) kwenye mgodi wa Bulyanhulu



Mr.Don Strickland- aliepokea tuzo kutoka kwa Prof Juma Kapuya kwa kuendeleza wazawa kwenye kitengo chake.watanzania zaidi ya 20 kwenye kitengo cha usafishaji dhahabu wameshachukua nafasi zilizokua zimekamatwa na wazungu miaka 2 iliyopita.Nafasi hizo ni nyeti sana migodini na huyu bwana amehakikisha kwa sasa hizo nafasi wamekamata waswahili.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP