Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, July 31, 2009

DVD YA FM ACADEMIA

Mwanamuziki na kiongozi wa bendi ya FM Academi Nyoshi El Sadaat akiongea na wanahabari kwenye Mgahawa wa Hadee juu ya kukamilika kwa DVD yao ya Live yenye nyimbo mchanganyiko 5 inayoitwa (World Number 0 utamu wa Vanilla) Nyoshi amesema DVD hiyo ina viwango vya hali ya juu na itaanza kuuzwa madukani kuanzia sasa, ametoa mwito kwa mashabiki mbalimbali kuinunua DVD hiyo kwani hawatajutia kuinunua bali watasuuzika na roho zao kwa Zombo na Matembele iliyomo humo kushoto ni afisa uhusiano wa kampuni ya Zain Celina Njuju.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP