Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Wednesday, July 29, 2009

Ni kweli unapolala katika kazi au biashara unakuwa unalaza biashara au kazi yako?

KinyozI mmoja katika saluni ya Milardo, Mtaa wa Aggrey, Kariakoo, jijini Dar es Salaam, akiwa “ameutwanga” usingizi majira ya saa tatu asubuhi na kuonekana kusahau wajibu wa ajira yake.

Haya sasa huyu ni Mlinzi au tumpatie jina gani? Kwa mtaji huu ulinzi wa mali ya mtu utatimilika kweli? Huyu ni mlinzi wa kampuni ya fulani akiwa kauchapa usingizi katika majira ya mchana, kama alivyokutwa katika eneo la Mabibo Hostel. Picha na MichuziJR



0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP