Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Monday, July 27, 2009


Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Mfalme Mswati wa Swaziland katika siku ya kwanza ya mkutano wao wa siku tatu, tarehe 26 hadi 28 julai,o9, wa pamoja kati ya wakuu wa nchi na wadau mbalimbali wa maendeleo kanda ya afrika,unaofanyika jijini kampala mji mkuu wa uganda. mkutano huo unahudhuriwa na marais Robert Mugabe wa Zimbabwe, Rais Jakaya Kikwete, Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Mfalme Mswati wa Swaziland, Rais Mtaafu Ktumire Mssire wa Botswana, Waziri Mkuu Mstaafu wa Malasya Mahathir Mohammed

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP