Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Monday, July 27, 2009

Makamu wa Rais, DK Shain amuoza Binti yake

Makamu wa Rais, Dk Ali Mohamed Shein, akimfungisha ndoa ( AKDI) Bwana Abdalla Hassan Mitawi mfanyakazi wa kituo cha Televishein Zanzibar aliyemuowa mtoto wake Bibi Mwanaharusi Shein Ofisa Uhusiano Benki ya Watu wa Zanzibar katika sherehe ya Harusi iliyofanyika jana kwenye Msikiti wa Al-Ibrahim Mombasa mjini Zanzibar, katikati wanaoshuhudia kufungwa ndoa hiyo ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar Aman Abeid Karume kulia Sheikh Thabit Noman Jongo



Mke wa Makamu wa Rais, Mwanamwema Shein (kushoto) Mkw wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda (katikati) na Mke wa Rais, Salma Kikwete wakiwa katika sherehe ya harusi ya mtoto Makamu wa Rais, Mwanaharusi Shein iliyofanyika jana katika mtaa wa Mombasa mjini Zanzibar.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP